>

Leo Ni Siku ya Kupiga Maokoto na Meridianbet

Jumamosi ya kibabe imefika na wewe unaweza kuwa mbabe kwa kutusua na Meridianbet endapo utatengeneza jamvi lako la maana kwani kua mechi kibao leo za kukufanya tajiri. Ingia na ubeti sasa

Klabu ya Manchester United baada ya kupoteza mchezo wake wa kirafiki uliopita, leo atakuwa ugenini dhidi ya Glagow Rangers ya Scotland ambao walimaliza nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Ten Hag wamepewa nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 1.85 kwa 3.19. Bashiri mechi hii.

Wakati SK Rapid Wien yeye atapepetana dhidi ya AC Milan ya Italia. Mwenyeji anakiwasha kule Austria wakati mgeni akimaliza nafasi ya pili kule Serie A. Mechi hii imepewa machaguo zaidi ya 1000, na ODDS ya 4.11 kwa 1.62.

Bashiri mechi za kirafiki zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Mkwanja upo hapa kwa AZ Alkmaar dhidi ya KV Kortrijk ambapo Meridianbet wameipa mechi hii odds kubwa 1.39 kwa mwenyeji na 5.29 kwa mgeni. Mwenyeji anakipiga katika ligi ya Uholanzi ambapo alimaliza nafasi ya 4 na mgeni yeye yupo pale Ubelgiji akimaliza ligi katika nafasi ya pili kutoka mwisho. Suka jamvi lako sasa na Meridianbet.

Pia VFB Stuttgart ya Ujerumani watawaalika Fortuna Sittard ya Uholanzi ambao walikuwa na kiwango cha kati msimu uliopita. Stuttgart amekuwa bora sana msimu uliopita akimaliza nafasi ya pili na hata kuwafunga mabingwa wa Bundesliga mara nyingi. Fortuna kushinda mechi hii amepewa ODDS 5.09 kwa 1.45. Beti mechi hii.

Brentford chini ya Thomas Frank watakuwa ugenini kuchuana vikali na AFC Wimbledon ambayo inacheza League 2 kule Uingereza. Nyuki ambao wanakipiga EPL walimaliza nafasi ya 16 wakiwa na pointi 39 huku mwenyeji wake kwenye ligi yao akimaliza nafasi ya 10 na pointi zake 65. Je nani kuondoka na ushindi mechi ya kirafiki leo?. Jisajili hapa.

Suka jamvi lako mechi hii ya Austria Salzburg vs Real Betis Seville ambayo inakipiga kule Laliga. Salzburg haipewi nafasi sana ya kuondoka na ushindi leo wakiwa na ODDS 10.78 kwa 1.13 dhidi ya mgeni. Betis walimaliza nafasi ya 7 na pointi zao 57. Je nani kuondoka na ubabe leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Kivumbi kitakuwa hapa kwenye mechi ya QPR dhidi ya Tottenham Spurs ya Ange ambao kushinda leo hii wamepewa ODDS 1.57 kwa 4.11. Mwenyeji anakipiga katika ligi daraja la kwanza kule Uingereza huku  Spurs yeye akicheza Ligi kuu. Mwenyeji mpaka msimu kumalizika kwenye ligi alikuwa nafasi ya 18 huku Ange na vijana wake wakimaliza nafasi ya 5 na pointi 66. Beti mechi hii.

Halikadhalika  Palermo atakuwa uso kwa uso dhidi ya AC Monza huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Monza anakipiga ligi kuu Italia Serie A, na mgeni wake anakipiga Serie B. Mabingwa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wanasema hivi mwenyeji ndio anaondoka na ushindi leo akiwa na 1.67 kwa 4.21. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.