SportsAZIZ KI AKUBALI MUZIKI WA CHAMA/DUBE Saleh5 months ago01 mins KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz Ki ameweka wazi kuwa Clatous Chama ni kiungo mwenye uwezo mkubwa hivyo ni furaha kuwa naye katika kikosi kwa msimu wa 2024/25. Kumbuka kwamba Chama aliibuka Yanga akitokea Simba alitambulishwa Julai Mosi 2024. Post navigation Previous: VIDEO: MZEE MAGOMA AFUNGUKA ISHU YAKE NA NYUMBA ALIZONAZONext: Leo Ni Siku ya Kupiga Maokoto na Meridianbet