
VIDEO: MZEE MAGOMA AFUNGUKA ISHU YAKE NA NYUMBA ALIZONAZO
MZEE Magoma ambaye amekuwa gumzo kutokana na sakata lake kuibuka hivi karibuni ameweka wazi kuwa ana nyumba tatu huku akimtaja Ofisa Habari wa Yanga Ali Kamwe na namna ya utendaji wake ndani ya timu hiyo ambayo imeweka kambi Afrika Kusini kwa maandalizi ya msimu wa 2024/25.