>

TUSUA MAPENE NA MECHI ZA KIRAFIKI LEO

Leo hii kuna Lazio, Fenerbahce, Braga na wengine kibao ambao watakuwa uwanjani hapo baadae kukupa utajiri. Suka jamvi lako sasa na ubashiri na Meridianbet mechi zote za kirafiki. Darubini yangu imeanza kumulika mechi hii ya SC Braga ambaye ataumana na Rayo Vallecano ya kule Hispania huku mechi hii ikiwa imepewa ODDS za kibabe kwelikweli. Mwenyeji…

Read More

DUBE: NAFURAHI KUCHEZA YANGA, KUNA WACHEZAJI WAKUBWA

Mshambuliaji mpya wa Yanga, Prince Dube amesema kuwa “Nafurahi kucheza Yanga, kuna wachezaji wakubwa hapa na kila mchezaji anatamani kucheza ndani ya Yanga ni timu kubwa na nipo hapa kwa ajili ya kufanya kazi nimepitia kipindi kigumu na sasa natamani kufurahi na kuitumika klabu kwa sasa, Mambo yanakwenda vizuri,nimekaribishwa vizuri kuanzia kwa mashabiki,viongozi,na benchi la…

Read More

KARIAKOO DABI HII HAPA, RATIBA NGAO YA JAMII

BURUDANI ya Ligi Kuu Bara ipo njinai kurejea baada ya ratiba ya mechi za ufunguzi kutolewa hivyo ni muda wa kila mmoja kutambua kipi ambacho atavuna kwa msimu mpya wa 2024/25. Ni Agosti 8 2024 ambapo wababe wawili  Simba na Yanga watakutana hatua ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkapa. Ikumbukwe kwamba…

Read More

SIMBA KAZI IPO HUKO, KOCHA KUANZA NA HILI

FADLU Davids Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kuwaandaa wachezaji kuwa tayari kwa ushindi kwenye mechi zao za ushindani zijazo. Kuelekea msimu wa 2024/25 Simba imeweka kambi Misri ikiwa na wachezaji kama Mzamiru Yassin, Zimbwe, Ally Salim na ligi inatarajiwa kuanza Agosti 16 2024 huku mabingwa wakiwa ni Yanga…

Read More