>

YANGA HAO AFRIKA KUSINI

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba utakwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mwendelezo wa maandalizi ya msimu wa 2024/25 wakiwa wamealikwa kutokana na thamani ya timu hiyo kupanda. Chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi, Yanga msimu wa 2023/24 iliweka kambi Bongo na ikafanikiwa kutwaa taji la ligi ikimaliza msimu ikiwa na pointi 80 baada ya kucheza…

Read More

𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗧𝗜𝗞𝗘𝗧𝗜 𝗠𝗦𝗜𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝟮𝟯/𝟮𝟰

Mauzo ya tiketi za kuingia viwanjani kwenye michezo ya nyumbani ya klabu zote za ligi kuu ya NBC kwenye msimu wa 2023/24. Klabu ya Simba Sc imeongoza kwenye mauzo hayo huku ikitajwa kuingia zaidi ya kiasi cha shilingi Milioni ( 835, 805, 000 Tsh) huku Wananchi Yanga wapo nafasi ya pili wakiingiza jumla ya kiasi…

Read More

SHINDA MAMILIONI YA EXPANSE KASINO

Expanse Tournament bado inaendelea, huenda leo ukaibuka mshindi wa Zaidi ya 2,500,000/= cheza kasino ya mtandaoni huku ukivuna mabonasi ya kasino kibao. Jisajili hapa kisha anza safari ya ushindi. Mwisho wa promosheni ya Shindano la Expanse Kasino washindi 40, watagawiwa bonasi za kasino na pesa taslimu kwenye kaunti zao za Meridianbet. ZAWADI ZIKOJE? Expanse Tournament…

Read More

YANGA KUMALIZANA NA MSHAMBULIAJI HUYU

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kuna wachezaji ambao watatambulishwa ndani ya kikosi hicho wakiwa na uwezo mkubwa jambo litakaloongeza nguvu kuelekea msimu wa 2024/25. Yanga inanolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi msimu wa 2023/24 safu ya ushambuliaji ilifunga jumla ya mabao 71 na kinara alikuwa ni Aziz Ki aliyefunga mabao 21. Kwa upande wa maingizo…

Read More

INONGA ANATUA AS FAR RABAT

BEKI wa zamani wa Simba ya Tanzania, Henock Inonga anatajwa kuwa kwenye changamoto mpya ndani ya AS FAR Rabat kwa ajili ya kutimiza majukumu yake hapo. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Inonga ndani ya ligi alicheza mechi 10 pekee za ligi muda mwingi alikuwa akitumia kwenye matibabu kwa kuwa hakuwa fiti. Inonga anatua AS FAR…

Read More

BARAZA LA WADHAMINI YANGA MATATANI

YANGA imepokea hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hukumu hiyo inatokana na kesi ya msingi iliyofunguliwa Agosti 4,2022 na walalamikaji Juma Ally na Geoffrey Mwaipopo, wakitaka kutotambulika kwa Baraza la wadhamini la Yanga lililowekwa madarakani kwa katiba ya mwaka…

Read More