
SIMBA KAZI INAENDELEA, MAELEKEZO KUFUATWA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba kazi inaendelea kwa kuendelea na mazoezi kambini kuelekea msimu wa 2024/25. Msimu wa 2023/24 Simba iligotea nafasi ya tatu ikiwa na pointi 69 baada ya kucheza mechi 30 ina kibarua cha kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Beki wa kati Che Malone amesema kuwa…