Winga wa Barcelona na Uhispania, Lamine Yamal amechaguliwa kuwa mchezaji bora chipukizi wa michuano ya EURO 2024 baada ya kuonesha kiwango bora kwenye michuano hiyo akifunga bao moja na kutoa pasi saidizi (assist) nne.
Official Website