>

VILLARREAL YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI WA MAN UTD

Klabu ya Villarreal ya Ligi Kuu Uhispania imekamilisha usajili wa beki Willy Kambwala kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 10 kutoka Manchester United. Kambwala (19) mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambaye ameiwakilisha timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa amesaini mkataba wa kuwatumikia Nyambizi hao wa Manjano mpaka Juni 2029.

Read More

MASHINE ZAZIDI KUTUA YANGA

MASHINE za kazi zimezidi kutua ndani ya Yanga ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa mwanzo mwisho. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya kutwaa taji la ligi kwa msimu wa 2023/24 na walimaliza wakiwa namba moja kwenye msimamo na pointi 80….

Read More

MIFUGO FC MABINGWA LIGI 2024

TIMU ya Mifugo FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Ngende Cup 2024, kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mungurumo FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa michezo wa Halmashauri ya Wilaya Liwale mkoani Lindi. Mchezo huo ambao ulikuwa na mashabiki wengi kutoka viunga vya Liwale uliochezwa Wikiendi hii ulianza kwa kasi kwa kila timu…

Read More

SEN KUJENGA UWANJA MWINGINE SIMBA

MPANGO mkubwa wa Simba kwa sasa ni kuendelea kuwa bora kwa kuboresha mazingira ya wachezaji ikiwa ni pamoja na sehemu ya kufanyia mazoezi. Julai 14 2024 Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji alikutana na kufanya mazungumzo na Simba Executive Network (SEN). SEN ni mtandao wa mashabiki wa Simba ambao huchangia ada ya…

Read More