
SIMBA WAPO KAMILI GADO KWA KAZI
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wapo kamili gado kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza kati ya Agosti. Ipo wazi kuwa msimu wa 2024/25 Simba iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo huku nafasi ya pili ikiwa mikononi mwa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo. Kwa sasa Simba…