SportsAZIZ KI, CHAMA, PACOME CHUNGU KIMOJA, HUOGOPI? Saleh5 months ago01 mins WAKALI wa kazi ndani ya uwanja viungo wenye ubora mkubwa uwanjani Aziz Ki, Pacome na Clatous Chama wote watakuwa kwenye chungu kimoja msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kila timu kupambania kombe. Post navigation Previous: GUEDE KUTOKA YANGA ATAONGEZA KITU SINGIDA BLAC STARSNext: ANACHOMOLEWA MWINGINE KUTOKA UNYAMANI KUIBUKIA JANGWANI