
ROBO FAINALI ZA EURO NA COPA AMERICA KUENDELEA HII LEO
Robo Fainali za EURO na COPA AMERICA kuendelea hii leo ambapo mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania wakiwa wamekupa machaguo zaidi ya 1000 ya kubashiri mechi hizi. Vijana wa Southgate England wataumana dhidi ya Switzerland ambapo nafasi kubwa ya kushinda akipewa Southgate na vijana wake kwa ODDS 2.21 kwa 3.87. Wewe piga pesa kwa kubashiri mechi…