Klabu ya Yanga Sc imempa mkono wa kwaheri beki Joyce Lomalisa baada ya mkataba nyota huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufikia tamati hivyo hatakuwa sehemu ya kikosi cha Wananchi kwa msimu wa 2024/25.
Official Website