AMETIMULIWA KAMBINI KISA MAMELODI

Gilberto ametimuliwa kwenye kambi ya timu ya taifa ya Angola kabla ya mechi yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Eswatini na Cameroon kutokana na kuchelewa kuwasili kambini na bila kuomba ruhusa baada ya kuitwa Kwenye kikosi hicho

Gilberto amekuwa akihusishwa Kwa ukaribi zaidi kutua MAMELODI huku pia Yanga wakitajwa Kwa mbaaaaliiiii.