URENO YAIFUATA UFARANSA KWENYE HATUA YA ROBO FAINALI YA EURO 2024

Ureno imeifuata Ufaransa kwenye hatua ya robo fainali ya EURO 2024 kufuatia ushindi wa penalti 3-0 dhidi ya Slovenia kwenye hatua ya 16 bora.

FT: Portugal  0-0 Slovenia (ET 0-0) (P 3-0)

Timu ya taifa ya Ufaransa imetinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 baada ya kuiondosha Ubelgiji kwa ushindi wa 1-0 katika dimba la Merkur Spiel-Arena (Düsseldorf).

FT: Ufaransa 1-0  Ubelgiji
⚽ Vertonghen (og) 85’