Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha uhamisho wa winga wa kulia, Joshua Mutale kutoka klabu ya Power Dynamos ya nchini kwao Zambia. Mutale (22) raia wa Zambia amesaini mkataba wa miaka mitatu.
SIMBA YATANGAZA KUKAMILISHA UHAMISHO WA WINGA JOSHUA MUTALE KUTOKA KLABU YA POWER DYNAMOS
