Klabu ya Simba SC imemtambulisha mshambuliaji Steven Mukwala (24) Raia wa Uganda kuwa mchezaji mpya klabuni hapo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Asante Kotoko ya Ghana.
Kwenye michezo 28 msimu uliopita Mukwala aliifungia Asante Kotoko magoli 14 na assist 2.