ALLY KAMWE: MBAPE MBONA HAJATAMBULISHWA NA JEZI

“Kuna mjadala nimeusikia eti Yanga kwanini wamemtambulisha mchezaji Mkubwa Chama bila jezi kwanza niwapongeze mmekiri kua ni mchezaji mkubwa pia mbona Mbape ametambulishwa lakini hakuna Jezi Rasmi Mbape kavaa mbona hamsemi”_____ Ally Kamwe – Afisa habari wa Yanga akizungumza na wanahabari.