
MASHABIKI WA YANGA WAMLETEA KEKI 17 CHAMA
Keki za Clatous Chota Chama zilizoletwa na Wananchi makao makuu ya Klabu yetu JANGWANI. “Wengi wanauliza mpaka sasa tumenufaika vipi na utambulisho wa Chama. Mpaka sasa tumepokea taarifa za mashabiki wa upande wa pili ambao wamehamia Yanga akiwemo Baba Kamwe nae amemfuata Chama. Wote waliohama tunawaandalia siku maalumu ya kuwapokea” “Suala la Usajili wa Chama…