
UHISPANIA YATINGA HATUA YA ROBO FAINALI YA KOMBE LA MATAIFA ULAYA EURO 2024
Uhispania imetinga hatua ya robo fainali ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Georgia katika mchezo wa hatua ya 16 bora. Spain itachuana na Germany kwenye robo fainali itakayochezwa Julai 5, 2024 katika dimba la MHPArena (Stuttgart). FT: Uhispania 4-1 Georgia ⚽ Rodri 39’ ⚽ Ruiz 51’ ⚽ Williams…