HII HAPA MITAMBO YA MABAO TATU BORA
MSIMU wa 2023/24 unakwenda kugota mwisho kwa kila timu kupambania malengo yake licha ya kwamba tayari bingwa ameshapatikana ambaye ni Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ndani ya tatu bora tayari bingwa ashajulikana ambaye ni Yanga alifanikisha malengo hayo baada ya kucheza mechi 27 akifikisha pointi 71 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote ile kwa…