MSHINDI Parimatch KITAA ALAMBA ZAWADI NONO

KAMPUNI ya michezo yakubashiri ya Parimatch imezindua michuano maalum ijulikanayo kwa jina la Parimatch Kitaa Cup 2024 yenye lengo la kuinua na kundeleza vipaji katika mpira wa miguu. Mashindano haya yanashirikisha jumla ya timu nane kutoka maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam kwa mujibu wa Mkuu wa Masoko wa kampuni hiyo, Levis Paul. Paul…

Read More

YANGA V AZAM FC FAINALI

YANGA imetinga hatua ya fainali ya CRDB Federation Cup kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Ni dakika ya 104 bao la ushindi kwa Yanga limefungwa na Aziz KI katika mchezo wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Ni fainali ya nne kwa Yanga katika CRDB Federation Cup wanakwenda…

Read More

MGUNDA NA HESABU NDEFU SIMBA

JUMA Mgunda Kocha Mkuu wa Simba amesemaamesema kuwa kikubwa ambacho kinahitajika katika mechi zilizobaki ni kupata matokeo mazuri. Ni hesabu ndefu kwa Mgunda kupambaniakupambania nafasi ya pili dhidi ya Azam FC zote zikiwa na pointi 60 kibindoni baada ya kucheza mechi 27 msimu wa 2023/242023/24. Mchezo uliopita wa ligi Simba ilipata pointi tatu dhidi ya…

Read More

YANGA KAMILI KUIKABILI IHEFU

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa YangaYanga amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Ihefu unaotarajiwaunaotarajiwa kuchezwa leo Mei 19 2024 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. YangaYanga ni mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup walitwaa taji hilo kwa ushindi wa bao 1-0 Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga….

Read More