Manchester United na Chelsea zimeibuka na ushindi kwenye mechi zao huku Chelsea ikisogea mpaka nafasi ya sita kufuatia ushindi huo wakati Manchester United ikiendelea kusalia nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England.
FT: Man United 3-2 Newcastle United
⚽ Mainoo 31’
⚽ Diallo 57’
⚽ Højlund 84’
⚽ Gordon 49’
⚽ Hall 90+2’