Mwamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, ameteuliwa na FIFA kuchezesha mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia, Malawi vs Sáo Tomé utakaochezwa June 6, 2024, Arajiga atasaidiwa na waamuzi wengine wa Tanzania Frank Komba, Kasim Mpanga na Hery Sasii.
Official Website