MANCHESTER CITY YAIBUKA NA USHINDI WA 2-0 DHIDI YA TOTTENHAM HOTSPUR

Manchester City imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur na kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kwa mara ya nne mfululizo.

FT: Tottenham Hotspur 0-2 Manchester City
⚽ Haaland 51′
⚽ Haaland 90′

MSIMAMO ?2️⃣ EPL ???????

? Man City — mechi 37— pointi 88 — magoli +60

? Arsenal — mechi 37 — pointi 86 — magoli +61

MSIMAMO WA UFUNGAJI BORA

? Erling Haaland — magoli 27
? Cole Palmer — magoli 21
? Alexander Isak — magoli 20