Kunako ligi kadhaa barani ulaya leo moto utawaka katika viwanja tofauti tofauti kwani vilabu kadhaa vitashuka dimbani kumenyana katika michezo ya mwisho mwisho ya kukamilisha ligi.
Michezo hii itakayopigwa leo itawaweka wateja wa Meridianbet katika mazingira mazuri ya kupiga mkwanja katikati ya wiki, Kwani michezo yote hiyo imepewa ODDS KUBWA na bomba pale kwenye tovuti ya mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.
EPL
Klabu ya Manchester United baada ya kupoteza mchezo wa wikiendi wakiwa nyumbani dhidi ya Arsenal leo watakua nyumbani tena dhidi ya klabu ya Newcastle katika dimba la Old Trafford, Chelsea wao watakua ugenini kumenyana na klabu ya Brighton katika mchezo ambao utaweza kuwaeka Chelsea katika mazingira mazuri ya kushirika michuano ya ulaya mwakani.
LA LIGA
Klabu ya Getafe itakua nyumbani kumenyana na klabu ya Atletico Madrid, Sevilla watakua nyumbani Ramon Sanchez Pizjuan kumenyana klabu ya Cadiz,klabu ya Celta Vigo watakua nyumbani kukipiga klabu ya Athletic Club michezo ambayo itakua na ushindani mkubwa.
Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya itakayopigwa katika ligi mbalimbali barani ulaya leo Jumatano. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`