EPL, LA LIGA, LIGUE 1 NA COPPA ITALIA MOTO UTAWAKA LEO

Kunako ligi kadhaa barani ulaya leo moto utawaka katika viwanja tofauti tofauti kwani vilabu kadhaa vitashuka dimbani kumenyana katika michezo ya mwisho mwisho ya kukamilisha ligi. Michezo hii itakayopigwa leo itawaweka wateja wa Meridianbet katika mazingira mazuri ya kupiga mkwanja katikati ya wiki, Kwani michezo yote hiyo imepewa ODDS KUBWA na bomba pale kwenye tovuti…

Read More

SIMBA HESABU KWA DODOMA JIJI

BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ipo wazi kwamba mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Mei 16 2024 lakini umepangiwa tarehe mpya ambayo itakuwa ni Mei 17 2024. Mchezo uliopita Simba chini ya Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola…

Read More

SHIRIKISHO LA SOKA LA ALGERIA LINAPANGA KUJIONDOA CAF

Shirikisho la soka la Algeria sasa linapanga kujiondoa ndani ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) na kujiunga na Shirikisho la soka la Asia (AFC) kwa kuwa wanaamini CAF haijawahi kuwatendea haki katika maamuzi muhimu katika soka la Afrika. Pia walitaja kilichotokea hivi juzi kati ya RS Berkane na USM Alger kama moja ya sababu zinatakazosababisha…

Read More