Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England zimechukua sura mpya baada ya Washika Mitutu, Arsenal kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi kufuatia ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Mashetani Wekundu katika dimba la Old Trafford.
FT: Man United 0-1 Arsenal
⚽ Trossard 21’
MSIMAMO ?2️⃣
? Arsenal— mechi 37 — pointi 86
? Man City — mechi 36 — pointi 85