SIMBA YATAJA KILICHOWAPONZA KAITABA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa walikuwa na nafasi kubwa ya kupata matokeo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar nafasi hawakuzitumia. Ubao wa Uwanja wa Kaitaba umesoma Kagera Sugar 1-1 Simba baada ya dakika 90 ambapo Simba walianza kufunga kwenye mchezo wa leo. Ladack Chasambi alifungua akaunti ya…