WACHEZAJI YANGA HAWADAIWA, WAPEWA KAZI NYINGINE KIMATAIFA
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kwamba kwa namna ambavyo wachezaji wake wamejitoa mbele ya wapinzani wao Mamelodi Sundowns hana cha kuwadai zaidi ya kufanyia kazi makosa yao. Machi 30 2024 ubao wa Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya dakika 90 ulisoma Yanga 0-0 Mamelodi Sundowns kwenye hatua…