MWAMBA wa kazi Shomari Kapombe amebainisha kuhusu mpango kazi kuhusu mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Machi 29 2024. Kapombe ameweka wazi kuwa wanatambua kwamba ushindani ni mkubwa na watafanya kazi kubwa kupambanakupata matokeo chanya