REKODI zimewekwa ili zivunjwe wakati anasepa ndani ya kikosi cha Simba Luis aliandika rekodi ya kutoa hat trick ya pasi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, mastaa wa Simba na Yanga walipambana kuivunja ikawa ngumu lakini mwamba Aziz KI alifanikisha jambo hilo msimu wa 2023/24