SIMBA YAPIGA HESABU KUANDIKA HISRORIA CAF
WILLY Onana kiungo mshambuliaji wa Simba amesema wapo tayari kuandika historia kwa kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Ipo wazi kwamba miongoni mwa waliotimiza majukumu yake katika hatua za makundi ni Onana licha ya kutokuwa na mwendelezo mzuri, mabao yake mawili kwenye mchezo dhidi ya Wydad Casablanca yaliongeza nguvu kwa Simba kutinga…