KUHUSU AUCHO, KIBWANA, PACOME ISHU YAO IPO HIVI

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns uongozi wa Yanga umebainisha kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huku ukibainisha kuhusu hali za wachezaji wao ambao hawapo fiti ikiwa ni Khalid Aucho, Pacome, Kibwana Shomari. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mahi 30 Uwanja wa Mkapa