SportsVITA YA UFUNGAJI BORA KAZI IPO Saleh9 months ago01 mins VITA ya ufungaji bora inazidi kushika kasi ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na kila mchezaji kutimiza majukumu yake ngoma ni nzito kati ya Aziz KI wa Yanga na Feisal Salum wa Azam FC kwa kila mmoja kucheka na nyavu wakiwa na mabao 13 kibindoni. Post navigation Previous: MILIONI 10 KATIKA HATUA YA ROBO FAINALI KWA SIMBA NA YANGANext: SIMBA MPYA KUIKABILI AL AHLY KWA MKAPA