LEGEND kwenye masuala ya uandishi Bongo katika habari za michezo Saleh Ally ameweka wazi kwamba Simba wanapaswa wasifurahie kupangwa na Al Ahly hatua ya robo fainali bali wafanye mipango makini kuimaliza mechi Uwanja wa Mkapa kutinga hatua ya nusu fainali