SIMBA 2-0 MASHUJAA

FT: LIGI Kuu Bara

Simba 1-0 Mashujaa

Clatous Chama goal dk 56, 72.

Azam Complex

Mchezo wa mzunguko wa pili Machi 15 2024 Uwanja wa Azam Complex wanaume 22 wanavuja jasho kusaka pointi tatu.

Ushindi wa mabao mawili unawapa pointi tatu mazima Simba wakiwa nyumbani.

Simba inawakaribisha Mashujaa kutoka Kigoma mwisho wa reli kwenye msako wa pointi tatu muhimu.

Kila timu inapambana kusaka pointi tatu kwa kutengeneza nafasi na kuzitumia huku safu ya ulinzi ikiwa imara kuzuia hatari hizo.