LIGI YA MABINGWA ULAYA KUENDELEA LEO

Mtoto hatumwi dukani leo kwenye ligi ya mabingwa barani ulaya ambapo itapigwa michezo ya kibabe katika hatua ya 16 bora ili kutoa tiketi ya robo fainali kwa vilabu vinne vitakavyocheza leo. Leo itapigwa michezo miwili mikali ya ligi ya mabingwa ulaya ikihusisha timu nne ambapo michezo yote iko wazi na kila mmoja ana uwezo wa…

Read More