MSHAMBULIAJI KMC AINGIA ANGA ZA YANGA
NYOTA Wazir Junior mshambuliaji wa KMC ameingia anga za Yanga kwa kuwa sawa kwenye utupiaji na mwamba Aziz KI ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba Junior aliwahi kucheza katika kikosi cha Yanga alipoibuka hapo akitokea Mbao lakini alikwama kuwa kwenye ubora kutokana na kutopewa nafasi mara kwa mara na hata alipopewa hakuwa na bahati…