Habari njema kwako mteja wa meridianbet ni kuwa ukibashiri na meridianbet ni rahisi sana kwako kupiga mkwanja. Unajua ni kwanini?. Ni kwasababu huku kuna Turbo Cash yaani kutoa pesa yako mapema kabla mechi hazijaisha.
LALIGA leo hii kuna mitanange ya kutosha saa 10:00 Deportivo Alaves atapepetana dhidi ya Rayo Vallecano ambaye mechi ya kwanza walipokutana alishinda. Leo Alaves yupo nyumbani na anataka kulipa kisasi akiwa amepewa ODDS 2.20 kwa 3.43. Nani ni nani hapa. Bashiri mechi hii sasa.
Bingwa mtetezi, Real Madrid baada ya kulazimishwa sare mchezo wake uliopita, leo hii atakuwa Santiago Bernabeu kukiwasha dhidi ya RC Celta Vigo ambao wapo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi. Ancelloti na vijana wake ndio vinara w aligi hiyo na leo wanatafuta alama za kuwafanya wazidi kujiimarisha kileleni hapo. Mara ya mwisho kukutana Real alishinda. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka mkeka wako hapa.
Real Betis uso kwa uso dhidi ya Villarreal ambao wametoka kupokea kichapo cha maana kwenye mechi ya Europa. Mwenyeji amepewa ODDS 2.00 kwa 3.52 kushinda mechi hii. Wewe beti yako unaiweka wapi kati ya hawa wawili?
Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
SERIE A nayo kuna mechi kali kibao AC Milan atakuwa San Siro kusaka pointi tatu dhidi ya Empoli ambao wanashikilia nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Pioli yupo nafasi za tatu na kushinda leo hii kapewa ODDS 1.40 kwa 7.44. Jisajili hapa.
Majira ya saa 2:00 usiku Juventus atakipiga dhidi ya Atalanta ambao ni wa sita kwenye msimamo wa ligi. Mechi ya mwisho walipokutana walitoa sare. Je leo hii nani kuondoka na pointi zote tatu? Mechi hii imepewa ODDS 2.23 kwa mwenyeji na 3.28. Tengeneza jamvi lako na ubashiri kishua.
Usiku wa saa 4:45 ACF Fiorentina atamualika AS Roma ambao wametoka kushinda mchezo wao uliopita. Mwenyeji anahitaki ushindi baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita. 2.44 na 2.89 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi lako hapa.
Kama kawaida EPL leo kuna mechi za kukata na shoka, Aston Villa kumakribisha Tottenham Hot Spur huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwa ODDS 2.45 kwa 2.50. Wewe unampa nani beti yako?
Saa 11:00 Brighton atazitwanga dhidi ya Nottingham Forest ambao wanashika nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi. Roberto De Zerbi na vijana wake wapo nafasi ya 10 na wamepewa ODDS 1.75 kwa 4.21 kushinda. Je nani kuibuka kidedea?. Beti hapa.
Nao Wagonga Nyundo wa London West Ham United chini ya Moyes watawaalika Burnley ya Vincent Kompany ambao ndio vibonde kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao ni 29. Mechi hii imepewa ODDS 1.67 kwa 4.80. Bashiri sasa.
Na Uingereza leo hii kutakuwa na mtanange mkali kwelikweli kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City huku timu hizo zikiwania nafasi ya kwanza kileleni. Mechi ya kwanza walitoa sare, na leo pale Meridianbet wamewapa vijana wa Pep Guardiola nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.21 kwa 2.94. Je ni Klopp au Pep?. Suka mkea wako sasa.
Ujerumani BUNDESLIGA kitaumana vilivyo, VFL Bochum atamenyana dhidi ya SC Freiburg ambaye alitoa sare mchezo wake uliopita. Mwenyeji yeye alipoteza mchezo wake uliopita. Tofauti ya pointi ni 5 pekee na ODDS zao ni 2.22 kwa 2.99. Beti kijanja hapa.
Huku kwa upande wa Eintracht Frankfurt yeye atakuwa na kibarua cha kukabiliana dhidi ya TSG Hoffenheim huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda michezo yao iliyopita. Mechi hii ina ODDS KUBWA meridianbet. Unasubiri nini sasa? Bashiri hapa.
Kinara wa ligi hiyo ya Ujerumani Bayer Leverkusen atakuwa mwenyeji wa VFL Wolfsburg ambaye yupo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi. Alonso na vijana wake kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.30 kwa 9.01. Suka jamvi lako la maana na meridianbet.
Tukimalizia LIGUE 1 ya Ufaransa mechi ni nyingi mno ila mechi za pesa ni kama ifuatavyo saa 9:00 bingwa mtetezi PSG atakuwa pale Parc des Princes kukipiga dhidi ya Stade Reims ambaye ni wa 9 kwenye ligi. 1.40 kwa 7.05 ndio ODDS za mechi hii bashiri sasa.
Naye AS Monaco atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Strasbourg ambaye alishindwa kupata ushindi mechi yake iliyopita. Mara ya mwisho kukutana, Monaco alishinda. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi kwa ODDS yake ya 3.47 kwa 1.98. Jisajili na ubashiri hapa.
Saa 4:45 Olympique Marseille ambaye ni wa saba kwenye ligi atapepetana dhidi ya FC Nantes ambaye ni wa 14 kwenye ligi. Mechi ya kwanza msimu huu kukutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka na ushindi?. Mechi hii ina ODDS 1.45 kwa 7.05.