AMEREJEA ndani ya uwanja mkali wa mabao ndani ya kikosi cha Simba baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na kutokuwa fiti. Ni Willy Onana ambaye anaitwa mali ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kwa ajili ya kuendeleza ushindani na wachezaji wengine