KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ana balaa huyo ndani ya uwanja kutokana na kasi yake kwenye kutimiza majukumu yake akiwa kwenye viunga vya Azam Complex msimu wa 2023/24 akiwa ni mzawa namba moja kwenye upande wa utupiaji mabao akiwa nayo 12 anafuatiwa na Aziz KI mwenye mabao 11 yupo zake ndani ya Yanga.