ONANA MALI AFANYA KITU KWA SIMBA, CHAMA BALAA TUPU
MWAMBA Willy Onana nyota wa Simba amefanya kitu ambacho kimeipa ushindi timu yake kwa kutimiza majukumu yake wakiibuka na ushindi ugenini dhidi ya CoastalUnion. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Coastal Union 1-2 Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao umechezwa Uwànja wa Mkwakwani,Tanga. Mabao ya Simba yamefungwa na Fred Michael dakika ya 11 na…