>

KATI YA BARCELONA NA NAPOLI NANI KUKUPA PESA LEO?

Huku ukiwa unajiuliza ni wapi utapata pesa za haraka sana siku hii ya leo, basi mimi nakwambia hivi chimbo ni moja tuu, ambapo ni meridianbet ambao wanakupa kile ambacho wewe unakitaka, yani machaguo yote uyatakayo. 

Kivumbi kitaanzia hapa BUNDESLIGA leo ambapo majira ya saa 4:45 usiku VFB Stuttgart atamualika Union Berlin ambao bado wanachechemea kujiweka kwenye mstari mzuri msimu huu. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 na mgeni wake yupo nafasi ya 14 hivyo toafuti ya pointi kati yao ni 25.

Stuttgart alishinda mechi iliyopita huku mgeni wake akipoteza mchezo uliopita. Mechi hii imepewa ODDS 1.47 kwa mwenyeji na 6.07 kwa mgeni. Wewe beti yako unaitupia wapi kati ya mechi hizi. Suka mkeka wako na ubashiri sasa.

Vilevile cheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

 

LIGUE 1 nayo kule Ufaransa kutakuwa na mchuano mkali sana kwa mchezo mzuri sana, OGC Nice atakipiga dhidi za Montpellier HSC ambao wapo nafasi ya 16 kwenye ligi hiyo. Meridianbet wamempa Nice ODDS 1.68 kushinda mechi hii kwa 4.80. Mechi ya mwisho walitoshana nguvu. Je leo hii tutarajie nini hapa?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet bashiri sasa.

Leo hii pale LALIGA kutakuwa na mbungi kali sana ambapo vijana wa Xavi baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita, ambao walipoteza mchezo uliopita.

Barca ambao wapo nafasi ya 3 wamepewa ODDS 1.45 kushinda mechi hii huku mgeni akiwa nafasi ya 15 akipewa ODDS 6.66 huku mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Bashiri mechi hii sasa.

Pia SERIE A itapigwa mechi moja kali kati ya mwenyeji Napoli ambaye atakuwa katika dimba la Diego Armando Maradona kukichapa dhidi ya Torino huku tofauti ya nafasi kwenye msimamo wa ligi ni tatu pekee.

Naples wanaingia kwenye mchezo huu huku wakikumbuka mechi ya kwanza walipokutana, waliambulia kichapo cha maana. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi kwa ODDS 1.78 kwa 4.70?. Jisajili hapa.