NO PACOME NO PROBLEM, 10 SIMBA WAACHWA
UNAWEZA kusema hivyo No Pacome No Problem kwa mabingwa watetezi Yanga kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Namungo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Majaliwa umesoma Namungo 1-3 Yanga ambapo katika dakika 45 za mwanzo hakuna timu iliyoruhusu bao kuokotwa kwenye nyavu zake. Kipindi cha pili…