KIUNGO mgumu ndani ya kikosi cha Simba Sadio Kanoute hayupo kwenye mpango wa kuendelea kupambania timu hiyo kutokana na kutokuwa fiti alikosekana kwenye mechi kadhaa za Simba mara ya mwisho kuanza kikosi cha kwanza ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya TRA Kilimanjaro wa Kombe la Azam Sports Federation