>

EUROPA KUTIMUA VUMBI LEO, PIGA PESA HAPA

Mpenzi mteja wa meridianbet hivi unajua kuwa leo hii ndio siku yako ya kupiga mapene ukibashiri na meridianbet kwani kila kitu kipo tayari kazi inabaki kwako tuu. Machaguo zaidi ya 1000, Turbo Cash. Beti sasa.

Nyasi zitawaka hapa katika mechi ya Bayer Leverkusen ambao watakuwa ugenini dhidi ya Qarabag FK ambaye kushinda mechi hii amepewa ODDS 8.03 kwa 1.34. Je Alonso na vijana wake wataendeleza moto na huku Uropa? Suka jamvi lako sasa huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000.

Pia SC Freiburg watashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya West Ham United ya Uingereza ambayo imekuwa na mwenendo usiotabirika. Lakini mwenyeji pia hayupo kwenye nafasi ya kutosha kwenye ligi baada ya kuambulia sare akiwa nyumbani mechi yake iliyopita. Mechi hii imepewa ODDS 2.60 kwa 2.60. Bashiri sasa.

Kumbuka sio kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Sparta Prague ya Czech Repulic itakipiga dhidi ya Liverpool ya Jurgen Klopp ambyo ndiyo vinara wa ligi ya Uingereza hadi sasa. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa Liver akiwa na ODDS 1.81 kwa 3.92, huku mara ya mwisho kukutana ilikuwa mwaka 2011 na Jogoo alishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi?. Bashiri sasa mechi hii.

Mechi nyingine ambayo ni ya kukupatia pesa ni hii inayowakutanisha kati ya AS Roma kutoka Italia dhidi ya Brighton & Hove Albion majira ya saa 2:45 usiku. Mwenyeji kwenye ligi yupo nafasi za 5 na mgeni yupo nafasi ya 9. Meridianbet wanampendelea mwenyeji kushinda mechi hii kwa ODDS 2.11 kwa 3.28. Wewe beti yako unaiweka wapi. Jisajili hapa.

AC Milan atakuwa mwenyeji wa Slavia Prague katika dimba la San Siro huku Pioli akiuhitaji ushindi huu kwa namna yoyote ile na meridianbet wamemua wampe nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.40 kwa 7.44. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Tengeneza jamvi lako sasa.

Pesa nyingine pia ipo hapa kwenye mechi ya SL Benfica kutoka kule Ureno dhidi ya Glasgow Rangers kutoka Scotland. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu majuzi na walitoa sare mechi zote mbili walizokuta. Leo hii Benfica anapewa nafasi ya kushinda mechi hii akiwa na ODDS 1.55 kwa 5.48. Beti sasa.