BOSI WA REAL MADRID MATATANI KISA KODI
Meneja wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti (64) anakabiliwa na kifungo cha takribani miaka mitano jela baada ya kutuhumiwa kwa makosa ya ulaghai wa kodi nchini Hispania. Waendesha Mashtaka wa Serikali wamemtuhumu Kocha huyo mwenye asili ya Italia kwa kutumia mfumo wenye kuchanganya chini ya Makampuni ya shell ili kuficha sehemu kadhaa za mapato…