Hatimae mshindi wa ile Jackpot ya kibabe kabisa mjini chini ya mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet imepata mshindi wake, Ambapo amepatikana mshindi wa kiasi cha Milioni 10 baada ya kupata timu 12 kati ya 13 kwenye Jackpot.
Mshindi huyo wa Jackpot ya Meridianbet anayefahamika kama Elia Erick kutoka mkoani Morogoro alifanikiwa kushinda kupatia michezo 12 kati ya 13 ambayo ilimuwezesha mkazi huyo wa Morogoro kuibuka na kitita.
Mabingwa hao wa kubashiri wamekua wakitoa washindi mara kwa mara kwani hivi karibuni tayari wameshapatikna washindi wawili mmoja akishinda milioni tano, Kabla ya bwana Elia Erick kushinda kitita cha milioni kumi.
Bwana Elia baada ushindi ameeleza kua amekua akicheza na Meridianbet kuanzia mwaka jana mwezi Novemba na ndoto yake ilikua ni kushinda mkwanja mrefu kupitia mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.
Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.
Mshindi huyo kutoka mkoai Morogoro ameeleza kwa mara ya kwanza alivutiwa na kubashiri na Meridianbet kwa mara ya kwanza baada ya kuona tangazo kwenye king’amuzi cha Startimes.
Mshindi ameeleza pia kua amekua akiwaeleza wenzake kutokata tamaa akiamini wataweza kushinda siku moja mkwanja wa kutosha,Na ndicho kilichotokea kwani bwana Elia ameweza kupiga milioni 10 na Meridianbet.
N.B: Mshindi huyo wa Jackpot alicheza Jackpot ya michezo 13 ambapo mchezo mmoja ulihairishwa kati ya Valencia na Granada, Huku kikwaida Meridianbet wanakua na mechi mbadala ambazo zinakua mechi tano na mechi ya kwanza kabisa ilikua ni kati ya Fc Lorient dhidi ya Nantes na Nantes kufanikiwa kushinda mchezo huo na kumfanya mshindi kufikisha michezo 12 ambapo alipoteza mchezo mmoja.