UTAMU WA MECHI ZA UEFA UPO HAPA, KITAWAKA LEO

Jumanne ya leo ni kwaajili ya mechi za UEFA na tayari mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 pale ambapo unataka kubashiri mechi zako. Unasubiri nini? Ingia na ubashiri sasa.

Bayern Munich leo watakuwa na kibarua kizito cha kupindua meza mbele ya Lazio huku wakiwa na mwenendo mbaya wa matokeo. Thomas Tuchel na vijana wake watakuwa Allianz kusaka ushindi mbele ya Maurizio Sarri ambaye mechi ya kwanza alishinda bao 1-0. Meridianbet wamempa Munich nafasi kubwa ya kushinda mechi hii akiwa na ODDS 1.25 kwa 10.78.

Bayern wamekuwa na kupanda na kushuka msimu huu na ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita ya ligi akiwa ugenini huku akiwa na nafasi ndogo ya kuchukua kombe hilo la Bundesliga. Pia Thomas Tuchel ana presaha kubwa sana ambapo asiposhinda mechi hii ya leo ya kufuzu robo fainali mambo yatazidi kuwa magumu kwake. Je nani kwenda hatua inayofuata ligi ya mabingwa. Beti hapa.

Kumbuka sio kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Pesa nyingine ipo kule Hispania katika dimba la Reale Arena ambapo wenyeji Real Sociedad watamenyana dhidi ya PSG ya Ufaransa, huku mara ya kwanza vijana wa Enrique waliondoka na ushindi wa mabao 2-0 hivyo mlima upo juu kidogo. Mwenyeji kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.30 kwa 2.99.

Je Enrique anaweza akawapeleka wapi Paris msimu huu ambao ndio vinara wa ligi kule Ligue 1? Jisajili na ubashiri sasa na utimize ndoto zako za umilionea leo.