PROMOSHENI KABAMBE YALETWA MJINI ‘CHOMOKA NA BAJAJ’

Hapa Meridianbet pale Tigo  kwa ushirikiano wao wamekuja na promosheni kabambe ambayo itadumu kwa mwezi mmoja kuanzia Machi 1 mpaka April 31 itakayotoa zawadi za kutosha kila wiki, Ambapo promosheni hii itahusu wateja wanaobashiri kupitia Meridianbet na kuweka pesa kwenye akauti za  Tigo Pesa.

Kampuni hizi mbili zimedhamiria kuwafurahisha wateja wao kwani mteja yeyote ambaye ataweza kuweka kiwango cha pesa katika akaunti yake ya Tigo Pesa kuanzia Tshs. 25,000 wataweza kupata mizunguka 10 ya bure kwenye michezo ya kasino kwa mteja wa Meridianbet.

 

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri kwa kushirikiana na Tigo kupitia Promosheni hiyo watakua wanatoa bonasi za asilimia 10 kila wiki na zitawekwa kwenye akaunti za wateja kila wiki, Lakini pia watapatikana washindi watatu kila wiki ambao watatangazwa itakayochezeshwa kila ijumaa watapokea simu za kisasa kwa muda wote wa promosheni.

Kubwa zaidi kwenye kilele cha promosheni itatoka zawadi kubwa ambayo ndio imebeba kaulimbiu ya promosheni ya “CHOMOKA NA BAJAJ” ambapo washindi watatu wa watakabidhiwa Bajaj mpya ambazo zitawasaidia kwenye shughuli zao za kila siku.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Makampuni haya mawili yote yamebobea katika kutoa huduma kwa wateja wao hivo Meridianbet wameonekana kuchanga karata zao vizuri kushirikiana na Tigo katika kuhakikisha promosheni hii inawafikia wateja wake vizuri.

Aidha Meneja wa biashara kutoka kampuni ya Tigo Fabian Felician alitoa maelekezo kwa wateja wa Tigo namna ya kushiriki promosheni hii ya “CHOMOKA NA BAJAJ” “Wateja wa Tigo Pesa wanaweza kushinda zawadi hizi kwa kuweka pesa kwenye akaunti zao za kubashiri kwa kupiga *150*01#, Chagua Malipo ya Bili, kisha Chagua na Ingiza Namba ya Biashara 444999, ikifuatiwa na kiasi.” Fabian alieleza.